GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Viongozi wa Yanga na Kocha Wao Zahera huwa wanadhani huko kuna Wachezaji mpira hasa wale wa Kutoka nchini Rwanda wa ' bure bure ' ili waweze Kuwasajili kwa Msimu ujao ambapo kuna uwezekano hata Jina la Yanga likabadilika na kuwa Yanga Rwanda FC.
Na ili muone kuwa hawa Jamaa wanaingia ' Chaka ' kweli kweli huku ' Wakidanganywa ' na aliyekuwa Kocha mbovu na ' Mnafiki ' wa Simba SC Masoud Djuma kuwa Wachezaji ambao ' wamekurupuka ' Kuwasijili ni wazuri habari zilizofika katika Himaya ya GENTAMYCINE zinasema kuna hao Wachezaji wawili wa Kinyarwanda Papii na Mwenzake Bigirimana si Wachezaji Mpira bali Mmoja ni Mwanajeshi wa Jeshi la Waasi la Intarahamwe na mwigine ni Kondakta na Mpiga Kiwi maarufu mno pale Jijini Kigali.
Kwa akili zao Yanga na zilivyo mbovu usishangae pia Kuwasikia wamempelekea Fomu Rais wa Rwanda Paul Kagame ili wamsajili kwa Msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania. Na kinachowatesa Yanga na kuwasumbua Akili zao ni Viwango vya Wachezaji mahiri na Mafundi tupu wa Simba Raia wa Rwanda Haruna Niyonzima na Mohammed Kagere hivyo wanadhani kuwa na Wao wakisajili Wanyarwanda watupu basi nao watakuwa wanapanda Ndege mara kwa mara kwenda Nje ya Tanzania wakati kwa Msimu ujao wa Ligi Ndege watakuwa wanaisikia tu ila watahusika mno kwa Kupanda Treni kwenda Mikoani Kucheza Mechi zao za Ligi.
Nawasilisha.