Mnaopanda daladala mnashuhudia mengi ya ajabu

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellow African

Jana nikikuwa na safari ya kwenda Chanika nikaona bora nitumie daldala kutokana na umbali pia folenii na marekebisho ta njia

Nikiwa kwenye daladala nilikuwa nimesinzia kutokana na kuchoka tulipo fika sehemu fulani sikumbi kwasababu sio mwenyeji wa mitaa iyo nikawa nimetulia

Kituo kilichofwata nikawa najiandaa kushuka nilikuwa nimekaa mbele sasa wakati wa kushuka si unakuwa kama unarudi Nyuma kufwata mlango ndipo nika shuhudia tukio la ajabu sana

Kijana anamlazimisha dada kumshika makalio na dada anatoa mkono na pembeni yake amekaa mtu mzima nikawa najiuliza je kama yule mama mjane anajisikiaje anapo shuhudia hayo?

Lakini pia je wanajuana au lah? Kama wanajuana kwanini walazimishane kwenye daladala na wasisubiri wafike waendako? Na je kama hawajuani kwanini dada akae kimyaa vile au anapenda ? Nilijiuliza maswali mengi bila majibu

Niseme usafiri wa daldala ndani yake kuna mambo ya ajabu sana
 
Wahuni wanakunawa popote tu.
 
umejuaje kama huyo mama mjane...?
halafu wahuni tunadunga popote paLe huwaga tunasubiri gari zikizoshona gmbt/masaki au gari za mbgala tena ukae na dada kavaa dela lake katoka kazn beki tatu weeh sio pw😋😋
 
🤓
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…