mnaopiga hodi humu

mutant gene

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
876
Reaction score
326
Hivi nyie kwani lazima mkiingia humu muwe munapiga hodi?! nyie kama muaingiia ingeni tu sio kila mtu hodi hodi...tumewachoka na hodi zenu kwa maana hatulali sasa kila time hodi...me nimeshachoka kukaribisha sasa! au kuna mtu aliwambia mkingia humu kama hamkupiga hodi mtafukuzwa???
 

Ukijiunga tu na jf...kuna ujumbe unakuja...encouraging you to post for the first time in jf...so huo ujumbe+ugeni ndo huchangia kwa mtazamo wangu. ..
 
Watu wengine bwana.. Ndo kusema ma-mode ni wajing.a kwa kuweka kipengele cha Utambulisho..... Au unadhan hiyo sehemu ya utambulisho ni ya kutambulisha wachumba....
 
Watu wengine bwana.. Ndo kusema ma-mode ni wajing.a kwa kuweka kipengele cha Utambulisho..... Au unadhan hiyo sehemu ya utambulisho ni ya kutambulisha wachumba....

Wakusamehewa uyo
 

karibu sana jf
 
Karibu sana JF...

kuna siku huyo ataingia jukwaa la siasa na kutoa lawama kwa nini watu mule wanapost habari za siasa,kwa kuwa zimeshamchosha.hahahahaha
 
Uloandila hii kitu ni ndezi... waloweka link ya utambulisho wana akil man
 

Karibu JF. Mburula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…