mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Hivi nyie kwani lazima mkiingia humu muwe munapiga hodi?! nyie kama muaingiia ingeni tu sio kila mtu hodi hodi...tumewachoka na hodi zenu kwa maana hatulali sasa kila time hodi...me nimeshachoka kukaribisha sasa! au kuna mtu aliwambia mkingia humu kama hamkupiga hodi mtafukuzwa???