Mnaopinga Katiba mpya, tupeni madhara yake na sisi tujue

Mnaopinga Katiba mpya, tupeni madhara yake na sisi tujue

Habari zenu ndugu wana jf!

Nipende kuwakaribisha kwenye hii fursa adimu ya kujikwamua kiuchumi.
Crowd rising ni system ya kujipatia kipato kwa njia ya network (Network marketing) . Fursa hii imeanzia nchini Canada ikiwa na lengo hilo hilo la kuwakwamua watu kiuchumi ,baada ya kupata mafinikio makubwa imeweza nchi mbalimbali na kuleta mabadiliko chanya.
Bado hujachelewa unachotakiwa kufanya ni kutafuta shilingi elfu 20( Tsh 20000) uweze kujapatia official account. Kwa maelezo zaidi karibu Pm Asante.

NB:
*Failures wa maisha hamna nafasi katika uzi huu piteni kando

*Moderator msifute uzi huu
Hayo ndio madhara ya katiba mpya ama?
 
Tanzania ina viumbe wa ajabu!! ,watu wanaotazama leo yao tu na kesho haiwahusu kabisa.

Ninamshangaa sana watu wanaokataa katiba mpya na kudai hii ya zamani inatosha au eti Rais Samia anatosha kwa sasa. Hajiulizi kikimtokea kilichomtokea mwendazake nani atakuwa na moyo kama wake! Mpole, mwelewa, mwenye huruma n.k.

Sasa tuonamba watuambie madhara ya katiba mpya ni nini Ili na sisi tuipinge?

Faida tumeziona nyingi tu na nzuri.

Muulize Ndigai
 
Hajiulizi kikimtokea kilichomtokea mwendazake nani atakuwa na moyo kama wake! Mpole, mwelewa, mwenye huruma n.k.

Makamo wa Rais yupo...
 
Back
Top Bottom