Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 752
- 1,106
Au sio ??Aiseeeeeee povu kali
Inategemeana na umeichukuliaje kama umeisoma ama kuichekulia kwa jicho la husda na wivu basi lazima utaona mtu kupost usingz wake ni ushambaHabarini za asubuhi 5 am Club members na Wengine ?
Nimeamka asubuhi hii nikawa na natizama status kidg kabla sijaenda mezani kufanya kazi zangu binafsi kabla ya muda wa kwenda kutimika utumwani (Utumishi).
Nimekutana na post ya mshikaji mmoja amepost picha ya Mwanamke ambaye ni mke wake kwa mujibu wa maelezo yake pale chini akisema
"Nimekumiss sana Mke wangu...I can't wait to see you again " na Sio huyu tu, Mwingine tena wiki mbili zimepita alimpost mkewe na yeye mwenyewe akimwambia "Nimekumiss sana mama watoto, Akaweka na makopa kopa"
Na wanaoweka haya mtangazo ya hivi wengi ni wanaume!
Hivi washikaji zangu, huwa mnataka sisi viewers tujibu au tufanye nini kama wewe ndio umemmiss mkeo si Umwambie huko inbox kwenu. Kwani sisi wote tunao view status yako ni wake zako ??
Na kwa nini hii trend inakua kubwa kwa wanaume ?? Sijaona post ya mdada akisema nimekumiss mme wangu zaidi utaona video zao wakibinua viuno na kutuonyesha Ma*ko na kuchezesha kope bandia huku wameweka Filter. Au kuna jambo ambalo mimi silijui ?? Have the men community turned into simps ??
Huu ni Ushamba sana !! Kama unampenda mkeo si unwambie privately? Basi kama kama unataka kuthibitisha si umeamua kuthibitishia kuwa unampenda huyo Mwanamke wako uju uweke pia video ukiwa unamshughulikia.... !! Nilijua hizi ishu za kujikosha mtandaoni ni za wanawake sasa wanaume tumeanza kufuata.
Mwenyewe naonaSikuhizi wanashika simu wanajipost wenyewe.
Ni ushamba! Kwani kumpost hivyo lemgo lake hasa ni nini ??Inategemeana na umeichukuliaje kama umeisoma ama kuichekulia kwa jicho la husda na wivu basi lazima utaona mtu kupost usingz wake ni ushamba
Promo ni nyingi! Jamaa si mara ya kwanza. Alfu anaandika maneno ya kimahaba si umwambie huko private au basi mwambie wazi wazi mkiwa mbaonana. Naona kama ushambaHiyo ni hulka tu ya mtu wengine hawawezi kufanya vitu kimya kimya.
Sema husiano likiwa na promo nyingi kuna shida mahali.
Sasa kama unaandika maneno ya mahaba kwenye status na unayemlenga unaweza kumtumia private tu huoni kama ni Ushamba.Simu yake au yako?
Na kwanini hujaumia status za kuchezesha makalio ukaumie za wanandoa kupostiana??
Wivu ni kidonda ukishiriki utakonda
Punguza wivu, kwanza unapata wapi muda wa kuangalia status. Inashangaza sanaHabarini za asubuhi 5 am Club members na Wengine ?
Nimeamka asubuhi hii nikawa na natizama status kidg kabla sijaenda mezani kufanya kazi zangu binafsi kabla ya muda wa kwenda kutimika utumwani (Utumishi).
Nimekutana na post ya mshikaji mmoja amepost picha ya Mwanamke ambaye ni mke wake kwa mujibu wa maelezo yake pale chini akisema
"Nimekumiss sana Mke wangu...I can't wait to see you again " na Sio huyu tu, Mwingine tena wiki mbili zimepita alimpost mkewe na yeye mwenyewe akimwambia "Nimekumiss sana mama watoto, Akaweka na makopa kopa"
Na wanaoweka haya mtangazo ya hivi wengi ni wanaume!
Hivi washikaji zangu, huwa mnataka sisi viewers tujibu au tufanye nini kama wewe ndio umemmiss mkeo si Umwambie huko inbox kwenu. Kwani sisi wote tunao view status yako ni wake zako ??
Na kwa nini hii trend inakua kubwa kwa wanaume ?? Sijaona post ya mdada akisema nimekumiss mme wangu zaidi utaona video zao wakibinua viuno na kutuonyesha Ma*ko na kuchezesha kope bandia huku wameweka Filter. Au kuna jambo ambalo mimi silijui ?? Have the men community turned into simps ??
Huu ni Ushamba sana !! Kama unampenda mkeo si unwambie privately? Basi kama kama unataka kuthibitisha si umeamua kuthibitishia kuwa unampenda huyo Mwanamke wako uju uweke pia video ukiwa unamshughulikia.... !! Nilijua hizi ishu za kujikosha mtandaoni ni za wanawake sasa wanaume tumeanza kufuata.
Itakua za wachezesha makalio ndiyo anapandia mnazi 😎 😂 ataumiaje sasa?Simu yake au yako?