Mnaopost wapenzi wenu hii inawahusu

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Kimantiki; Caption hiyo ndio tatizo, yes kama amemmiss angeweza kumtumia msg inbox. Otherwise alitakiwa atuandikie sisi waangaliaji kuwa β€œwakuu nimemmiss sana mke wangu” Angekuwa ameelezea hisia zake kwetu watazamaji.

Hata hivyo hakuna rule-book katika hili mkuu, take it easy. Ni kitu kisicho na madhara kwake mfanyaji wala kwetu watazamaji.

Ponya roho yako, ni wazi una tatizo.
 
Ili usipate kero kama hiyo, achana na kuangalia status za watu. Kwani zinakuingizia kipato chochote? Nenda kapige kazi.

Mimi kwa siku huenda nisiangalie status hata moja. Nikiangalia nyingi kwa siku hazizidi 3.

Kwanza unatafuta nini kwenye status za wanaume wenzio?
 
Kwani umelazimishwa kuangalia status ya mtu?

Kwa nini unataka kujipa umuhimu usio nao kwenye maisha ya watu baki?
 
Sasa kama unaandika maneno ya mahaba kwenye status na unayemlenga unaweza kumtumia private tu huoni kama ni Ushamba.
Ona unavyoteseka..!!
Punguza shobo za kuhifadhi number za watu, ndo washapostiana sasa kufa 😹😹
 
Siku nyingine ukiona status ya hivyo,
Wewe comment kwa kuandika;
Mtaachana tu,

Kisha endelea na mambo yako.
 
Punguza hasira mkuu.
Achana na ku-view hizo status
 
Hivi washikaji zangu, huwa mnataka sisi viewers tujibu au tufanye nini kama wewe ndio umemmiss mkeo si Umwambie huko inbox kwenu. Kwani sisi wote tunao view status yako ni wake zako ??
πŸ“ŒπŸ”¨πŸ”¨
 
Huu ni ukweli lakn kabla ya kuleta mada huku umesha waeleza hao wahusika?japo kuwa na huku wapo piaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Weeengi wenu mmeshusha matusi na kejeli kwa jamaa ila me naona Macbook pro yuko sahihi kabisa kwa maonu yake ni ushamba kupost vitu kama hivo...........


Lakini mkuu Macbook pro acha kuangalia status chagua zile utakazoangalia au acha kabisa si lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…