Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Unajua kabisa kuwa yelu ni mke/ mume na fulani na wewe unakwenda kuingiza au kuingizwa humo humo, midomo aliyeinyonya yule na wewe unakwenda kuinyonya hiyo hiyo .assshh kinyaaa, ni sawa na kula mnyama ambaye amekufa kibudu.
Bora uwe hauji mahusiano aliyonayo yaani unajua kabisa usiku kucha analala na fulani, na wewe unaenda kujiweka humo humo? Aaaah uchafu kinyaaa 😩
Ndugu zangu mnawezaje huu uchafu? Mimi nikijua tu huyu demu analiwa na fulani nakata kabisa mawasiliano.