Mnaosema kwamba mke hachunguzwi piteni hapa

Hilo tango gani Bwana? baridi+joto+mikito ya punyeto+kurudi tena kwenye friji Bado likawa sawa sawa?
 
Kwahiyo hilo linazidi uzito suala la mkewe kuingiza wanaume chumbani?
No
vyote vilimuuma japo kuingiza wanaume inauma zaidi. Kama ni mim ningeshafungwa jela kwa kesi ya kuua
 
Wanaume tunakazi kwelikweli na hii miwife yetu unatoka kazini umechoka ile mbaya lakin bado unahitajika kumridhixha mkeo na endapo utashindwa hilo ni kosa la jinai
 
Watched your wife having an affair three times (3) before leaving her, I don’t get it [emoji44][emoji44][emoji44]
Jamaa ana ujasiri wa ajabu mie tu kumuona analiwa na wa kwanza hiyo ingekuwa safari tosha
 
Kwanza sisi wabongo ukitaka kutuficha mambo we yaandike kwenye kitabu, sisi ni wavivu sana kusoma sasa hapo na hiyo lugha nimepitiliza kusoma comments tu .
 
Pamoja na kiingereza changu cha kuungaunga ila nimeumia sana.

Kama ningekuwa ni mimi hapo hapo naachana naye aisee.
 
Define privacy.

Then respect privacy.
When you trynna to observe each and everything concerning one's privacy lazima ujute.

Sio kwamba hakuna uchafu kila mtu anao,Mimi,wewe,yeye na wale wengine tuna mauchafu(,degree of ignorance) kwahiyo mze pole kwa ugunduzi wako huo wa kijamii japo haujakusaidia zaidi ya kuvunja mahusiano.
 
Mnachunguza chunguza ili iweje? Heshimuni privacy za wenzenu, hamna aliye mkamilifu.
Ila kuna kitu cha uongo hapo, tango ulitoe kwenye friji kisha ulipashe kwenye microwave kisha upigie puchu..... huo ni uongo. Hilo tango lingerojeka
Cc: Bujibuji acha ubishi,kwan hilo Tango limepikwa au kupatiwa uvuguvugu? Jiongeze mzebaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…