GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"CAF imeweka utaratibu mpya wa Timu ambazo hazianzii hatua ya Awali Kombe la Klabu Bingwa na zipo katika zile Timu Nane zitakazoshiriki Michuano mipya ya Afrika Super Cup zenyewe zitaendelea Kusajili hasi tarehe 30 Mwezi huu wa August, 2023" amesema Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally muda mfupi akiongea na Radio One katika Kipindi cha Michezo cha Spoti Leo.
Kuna Watu wao kwa Ubovu wao na kwa Hadhi ndogo waliyonayo Juzi tarehe 31 July, 2023 ndiyo wamemaliza na najua wana hamu sana nao Wapendelewe na wafanane na Simba SC, ila hawawezi
Kuna Watu wao kwa Ubovu wao na kwa Hadhi ndogo waliyonayo Juzi tarehe 31 July, 2023 ndiyo wamemaliza na najua wana hamu sana nao Wapendelewe na wafanane na Simba SC, ila hawawezi