GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Umepanik brazaUkiona mtu anasikiliza redio ujue ni;
1. Bushman kutoka mkoan...
[emoji3] huyu jamaa ananifurahishagaChoko huyo asikupotezee muda wako.
🤣Choko huyo asikupotezee muda wako.
I hate to be rude but...Mtu mzima mwenye akili timamu anazungumza maneno ya kishenzi kama haya?Ukiona mtu anasikiliza redio ujue ni;
1. Bushman kutoka mkoani
2. Mzee alie kulia enzi za Nyerere.
3. Both of them.
Mtoa mada ni both of them.
Washamba/ wahenga period. Hakuna excuse ya kusikiliza redio.I hate to be rude but...Mtu mzima mwenye akili timamu anazungumza maneno ya kishenzi kama haya?
Okay, kuna nchi inasikiliza redio kama Canada? UK? USA? hapa Africa: South Africa?
Ni kweli kuna vyanzo vingi sasa vya taarifa sasa?
Je ni kweli unaweza muda wote unakaa nyumbani kuangalia TV?
Au unaridhika kusoma vichwa vya habari na Udaku Instagram?
Mnapata wapi experts wa kuelezea mambo ambayo hayapo yanahitaji wabobezi wa nyanja hizo, wakati mpo busy na kazi?
Anyways, Ndio maana mnakuja na habari nusu nusu.
Sisi tukiwa kwenye foleni/usafiri, basi sio muda wote ni amapiano tu. Tunasikiliza redio kujua yale yanayoendelea duniani.
Muulizeni tokea aanze Kunichukia amefaidika na nini? Mwambie asiache Kunichukia hapa JamiiForums kwa kutumia IDs zake Tatu tofauti tofauti kwani ndiyo Kwanza anazidi tu Kuniongezea Umaarufu.Sioni tatizo lolote hapo
Chuki sio kitu kizuri mkuu
C.wezi kuchukia fake id.Muulizeni tokea aanze Kunichukia amefaidika na nini? Mwambie asiache Kunichukia hapa JamiiForums kwa kutumia IDs zake Tatu tofauti tofauti kwani ndiyo Kwanza anazidi tu Kuniongezea Umaarufu.
Nasikitika kukuona Mwerevu kama Wewe umepoteza muda wako kumpa Elimu hii Kubwa Mwanaume ambaye ni Mpumbavu na Muingiliwaji Mwandamizi.I hate to be rude but...Mtu mzima mwenye akili timamu anazungumza maneno ya kishenzi kama haya?
Okay, kuna nchi inasikiliza redio kama Canada? UK? USA? hapa Africa: South Africa?
Ni kweli kuna vyanzo vingi sasa vya taarifa sasa?
Je ni kweli unaweza muda wote unakaa nyumbani kuangalia TV?
Au unaridhika kusoma vichwa vya habari na Udaku Instagram?
Mnapata wapi experts wa kuelezea mambo ambayo hayapo yanahitaji wabobezi wa nyanja hizo, wakati mpo busy na kazi?
Anyways, Ndio maana mnakuja na habari nusu nusu.
Sisi tukiwa kwenye foleni/usafiri, basi sio muda wote ni amapiano tu. Tunasikiliza redio kujua yale yanayoendelea duniani.
Uzi wa popoma bila matusi hauendiNasikitika kukuona Mwerevu kama Wewe umepoteza muda wako kumpa Elimu hii Kubwa Mwanaume ambaye ni Mpumbavu na Muingiliwaji Mwandamizi.
Kama Kuandika neno Kubadilika ulishindwa na ukaandika neno Kubadirika unapata wapi uhalali wa Kujibizana nami damn Fool Wewe?Kuna sehemu uliwahi kunikosoa Uandishi wangu.
Leo na wewe mtu MZIMA usiyejua kuandika ngoja nikufundishe kuandika.
1. Sio Neno hasi ni Hadi tarehe .....
2.Dilisha la CAF linafungwa 31 August na si 30.
3. The Africa Football League will be an annual continental club football competition run by the CAF that is set to kickoff in October 2023.[1] It was announced on 28 November 2019 by Gianni Infantino, President of FIFA
JIFUNZE KUFUATILIA VITU NA KUANDIKA VIZURI USIPOTOSHE.
Kwanini hukulileta hapa? Hopeless.Mbona hili linajulikana KITAMBO SANA???????