saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Mhe Mathayo Maselle amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa bilioni 150 kwa ajili ya mbolea ya ruzuku ili iwafikie wakulima lakini kwa makusudi na kwa uzembe mkubwa uliofanywa na watendaji wa serikali kuhujumu jiitihada za Serikali kwa za utoaji wa mbolea ruzuku
'Kwa hiyo tumehujumu jitihada za serikali za kuwafikia wakulima kwa makusudi na huyo aliyefanya anajua kwa sababu gani amefanya ninataka nikitoka hapa mpaka saa 12 nipate maelezo kwanini vijiji havikufikiwa pamoja na maelekezo ya Serikali"
DC Maselle ameyasema hayo kwenye Mkutano wa Kijiji cha Mabanda Wilayani Malinyi tarehe 28 Desemba 2022 baada ya kupokea taarifa za wananchi hao kutofikiwa na mbolea ya ruzuku licha ya kuwa msimu wa kilimo umeshaanza.