Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Nimekua nikishangaa sana baadhi ya wanasiasa badala ya kufanya kazi ambayo Watanzania wamewatuma kufanya sasa wamegeuka kushindana na Diamond.
Kijana wa watu anajituma kwa akili na uwezo wake sasa kuna wanasiasa wameibuka mitandaoni na kuanza kumsemasema kijana wa watu.
Sasa mimi naona ili mshindane vizuri tunahitaji kuona Clip zenu mkikata viuno nadhani hapo mtakua mmeonyesha ushindani mzuri zaidi.