Mnaosimamia timu ya Taifa mnatuonea

Mnaosimamia timu ya Taifa mnatuonea

kipenseli2021

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
1,390
Reaction score
1,431
Habari wapendwa naomba niwaambie ukweli wanao simamia timu ya Taifa kule Mapinduzi Cup mnatuonea sana Wa Tanzania,timu IPO chini ya kiwango,wachezaji wabovu,kocha mmbovu hivi kweli mnashindwa kuwa seriously mnawakilisha bendera ya Taifa letu,michuona insignia kwenye record,mnatumia Hela zetu dah,
Mbona nchi inawachezaji wazuri tu,nenda ndondo cup,ligi za mikoa,vyuo vikuu
Tatizo mnaendekeza juana
 
Watu matumbo yao kwanza.
Kwani kwanza tuulize...wachezaji posho zao wamelipwa?
 
Habari wapendwa naomba niwaambie ukweli wanao simamia timu ya Taifa kule Mapinduzi Cup mnatuonea sana Wa Tanzania,timu IPO chini ya kiwango,wachezaji wabovu,kocha mmbovu hivi kweli mnashindwa kuwa seriously mnawakilisha bendera ya Taifa letu,michuona insignia kwenye record,mnatumia Hela zetu dah,
Mbona nchi inawachezaji wazuri tu,nenda ndondo cup,ligi za mikoa,vyuo vikuu
Tatizo mnaendekeza juana
Hii Mapinduo Cup ndo ilifanya ligi ya NBC isimame?
 
Sijawahi angalia...
Timu kama haina wachezaji wa ndani kama Tshablala,kibu D, siangalii...
Halafu hata under 20 wamewazidi mbaliii wale wachezaji wa Yaga kina nani sijui na wa Simba mashaka walikiwasha haswa mpk fainali
 
Back
Top Bottom