kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
Watu matumbo yao kwanza.Habari wapendwa naomba niwaambie ukweli wanao simamia timu ya Taifa kule Mapinduzi Cup mnatuonea sana Wa Tanzania,timu IPO chini ya kiwango,wachezaji wabovu,kocha mmbovu hivi kweli mnashindwa kuwa seriously mnawakilisha bendera ya Taifa letu,michuona insignia kwenye record,mnatumia Hela zetu dah,
Mbona nchi inawachezaji wazuri tu,nenda ndondo cup,ligi za mikoa,vyuo vikuu
Tatizo mnaendekeza juana
Yani nipo home na wife ananiuliza Hawa ndio Tanzania ,mzize yupo wapi mbona Wana ruka ruka tuWatu matumbo yao kwanza.
Kwani kwanza tuulize...wachezaji posho zao wamelipwa?
Sipo uko kwenye siasa,tff inakamata watu ?Wako busy kukamata watu wanao hoji vitu vya msingi, hakuna kitu wanaweza simamia kikanyooka.
Mzize anapiga magoli ya ulaya huko yanga...mazembe wanamtaka kwa $1.5 millionYani nipo home na wife ananiuliza Hawa ndio Tanzania ,mzize yupo wapi mbona Wana ruka ruka tu
Hii Mapinduo Cup ndo ilifanya ligi ya NBC isimame?Habari wapendwa naomba niwaambie ukweli wanao simamia timu ya Taifa kule Mapinduzi Cup mnatuonea sana Wa Tanzania,timu IPO chini ya kiwango,wachezaji wabovu,kocha mmbovu hivi kweli mnashindwa kuwa seriously mnawakilisha bendera ya Taifa letu,michuona insignia kwenye record,mnatumia Hela zetu dah,
Mbona nchi inawachezaji wazuri tu,nenda ndondo cup,ligi za mikoa,vyuo vikuu
Tatizo mnaendekeza juana
NdioHii Mapinduo Cup ndo ilifanya ligi ya NBC isimame?