Mnaosomea ualimu jiandaeni kushika bahasha za kaki

praatt

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
206
Reaction score
132
Hakika, kama hii hali ya utoaji mkopo itaendelea kwa miaka kadhaa ijayo, walimu hasa wale mnaosomea masomo ya arts mjiandae kusota na bahasha za kaki mkitafuta ajira hii ni kutokana na ukweli kwamba degree programs pekee zenye priority ya mkopo kwa waliosoma arts ni ualimu, sasa hii imepelekea watoto weng wa mama n'tilie na wakulima kufanya ualimu ndo mkomboz wao, hii matokeo yake itapelekea ongezeko kubwa la walimu kias cha serikali kushindwa kuwaajili! Naomba kuwasilisha.
 
Yaaani inawezekana hata tuliomaliza vyuo mwaka huu hizo bahasha ztatuhusu
 
Ni kwel bt ni bado kwn uku vjjn hali ni mbaya pia rais alisema "hakuna atakae kosa kaz ya ualimu kwn hata shule za mcngi 2tawapeleka"
 
Kwa mfano mm niliyekuwa nafanya teaching pactise vijijin wilaya ya Rombo walimu wa arts ni wengi saana
 
bora upate mkopo usome then ushike bahasha weee ukikosa ufungue tution centre kuliko kukosa kabisaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…