Hakika, kama hii hali ya utoaji mkopo itaendelea kwa miaka kadhaa ijayo, walimu hasa wale mnaosomea masomo ya arts mjiandae kusota na bahasha za kaki mkitafuta ajira hii ni kutokana na ukweli kwamba degree programs pekee zenye priority ya mkopo kwa waliosoma arts ni ualimu, sasa hii imepelekea watoto weng wa mama n'tilie na wakulima kufanya ualimu ndo mkomboz wao, hii matokeo yake itapelekea ongezeko kubwa la walimu kias cha serikali kushindwa kuwaajili! Naomba kuwasilisha.