Mnaosubiri "pesa kuingia mtaani" fanyeni kazi. Siku zote ipo mtaani, muhimu ni kuifanya kuingia mfukoni mwako

Huku Katavi tayari kushachafuka,

Pesa tunapishana nazo Sana mtaani, yaani ni Kama wanafunzi wa boarding wamepata off hivi.
 
Jomba yani hizi fursa zilizoanza kufunguka bado hujapata mchongo? Mtaendelea kulalamika wenzenu tunachangamkia mapema.

Pesa ya TASAF, TACAIDS na miradi mingine ishamwagwa we unazubaa tu. NGO zimeanza kufanya kazi kama zamani, ishu za kampeni za elimu ya afya ya uzazi kwa vijana pesa imemwagwa, kampeni za kugawa pads kwa wasichana zimeshaanza we unazubaa tu.

No wonder wakati wa JK watu waliingia wivu kwa wale waliochangamkia fursa sababu mnadhani pesa utakuta kuna gawio kwenye akaunti ya benki au watakutumia MPESA.

Kalagabaho.
 
Umeelewa lakini?
 
Kinachofanya pesa zijae mitaani kikubwa ni Serikali kuibiwa kama ifuatavyo:
1. Manunuzi hewa. 2. Safari za kikazi hewa. 3. BoQs hewa. 4. Overtimes hewa. 5. Wafanyakazi hewa. 6. Upungufu wa vitu muhimu kama sukari, hewa nk
 
Back
Top Bottom