Mnaosujudu Israel, ni kipi hasa kinachofanya mlione ni taifa lenye watu wenye akili zaidi duniani?

Waua Yesu. Makatili. Wapora ardhi. Wabaguzi ukibisha nenda kaishi kule na hata ukifuata dini yao ya hebrew bado utabaguliwa tu
kwan yesu alihukumiwa na wananchi au utawala au Je Tundulisu alitaka kuuliwa na wananchi kisa serikali kuhusishwa ?
 
uyaudi , uislam na ukristu ni utoto wetu sisi kujibagua il ahakukuwepo ma jina la hzio dini enz za Ibrahim kikubwa ilikuwa kumuabudu mungu tu
 
yan wamerusha ad satelite wanakuaje hawana akili. watahudi wanaakili sana wengi wanaushi nchi nyingine kv. england Usa NK

chkulia mfano akili kubwa ya Zelensky myahudi.
Mkuu angekuwa na akili angelialia na kuitia deni kubwa nchi yake.
 
Hitler alitaka kuondoa kizazi Cha wayahudi kwenye uso wa dunia.....Je ni kwanini ? Tuanzie hapo
 
We jamaa Mark ni mvumbuzi au CEO, llke in TESLA, Elon ni CEO na si mvumbuzi wa TESLA car.
Dunia ya Leo haina mvimbuzi wa jambo mmoja, vitu vibwfanyika katia team work, bado unaweza kizamani sana.
Mark alisha acha kuandika code zamani.
AI haina mvumbuzi mmoja like internet haina mvimbuzi mmoja, computer haina mvimbuzi mmoja,gari haina mvimbuzi mmoja.
Kitu kimejengwa ktk mifumo mingine kifanye kazi unasemaje kina mvumbuzi mmoja! AI ina tumia mifumo mingi sana kuwa ilivyo, hivyo si uvumbuz⁶i wa mtu mmoja.
 
Wana akili sana ukilinganisha na waarabu ambao wao kila uchao ni kujilipua tu.
 
Hawana AKILI wale ni propaganda tu za Wazungu. Kama Wana AKILI wangekuwa no. 1 kiuchumi but wanaongoza kupokea mikopo kutoka marekani
There is no leading technology kule. All cutting age technology zinatoka Ulaya,USA, China,Japan,Korea. Sijawahi ona vifaa vinavyotumika ktk nazingira ya kibongo kutoka Islael. Labda huko jeshi
Nadhan wana technoloji ya kuwatosha wao.
Hakuna kitu kibachotikisa dunia kinatoka Islael. Hawakugunfua gari,meli, hedge,computer, internet nk vyote vinayoka ulaya,USA na China nadhani hata Islae wanaweza kuwa wanatumia vitu vingi sana vya mchina.
Islael level zake ni Singspoor, Taiwan, Mslsysia,Iran South Africa. Nedhetlana, Turkey.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…