Kwa akili ya kawaida tu, hivi israel alipigana na nchi zote za kiarabu? Yaani OMAN, SAUDIA, EMIRATES, BAHRAIN, KUWAIT, QATAR, YEMEN, IRAQ, LEBANON, JORDAN, SUDAN, ALGERIA, MOROCCO, EGYPT, TUNISIA, MAURITANIA, PALESTINE, LIBYA!
Maana navyojua mimi baada ya israel kuzidiwa dhidi ya Egyptian commandos ikabidi waombe support kwa marekani pamoja na mataifa ya ulaya wakaungana kwa pamoja na kuwapiga waarabu. Sasa hicho unachosema kaisrael kanchi kadogo kamewahenyesha nchi zote za kiarabu,,,sasa nchi za kiarabu ni hizo nilizozitaja hapo juu kwa madai yakwamba zilipigwa. Fafanua!