Mnaotafuta wachumba hapa JF...


Mkuu asante sana kwa majibu mazuri mno..Wengine tumependa kupitia mitandao bila hata ya kuwajua hao tunaowapenda.
 
Achana naye Love asiyejua maana haambiwi maana
 
this forum is not reliable for relationships. i do not believe there are some couple who are the consequences of the forum. what i believe is that people do meet physically after virtual communications but the intention was not for potential conjugal, though they may find themselves in that boat. BUT if there are any, I appeal to some inspired ladies to take this opportunity and privately communicate with me so that we can make it come true. and this is DAMN serious
 
mi nilipata mchumba kupitia online, na baada ya kuonana alikuwa serious kuoa,ila nilishindwa ana kila baya la hapa duniani, ANAVUTA SIGARA,BANGI,anabeba UNGA(Dawa za kulevya)anauza na ANAKULA,aliwahi kuwa mwizi(anadai alikuwa anasingiziwa) ameshakaa jela kama mara 35,mara yake ya mwisho alifungwa PAKISTANI miaka 4, MFIRAJI, sina uhakika, ila nadhani pia ANAFIRWA.
sirudii tena,yamenikuta
 
@ Kiuno, ndio ukome kutafuta vivuli vya watu online, wa mtaani wamekushinda unaona bora ukimbilia online maana itakuwa vigumu kujua tabia yako....

wanaotafuta wachumba online wote wanamatatizo ya akili na kimwili plus tabia zao ni mbovu mbovu.
 

Pole mwaya....:jaw:
 
Du! kwa hiyo ushaliwa tgo weye.....
 

haya tena makubwa !:mmph:
 
Makubwa mno..
Tena ni mkosi mtupu.......
Pole sana ............
 
..............................
 
..............................

Hahahahahah lol! BOSS nimecheka sana lol! umeuchakachua uzi huu kwa mstari tu! ili uupe uhai mwingine lol! ulikuwa umelala karibu mwaka sasa 🙂
 
Wanasema..., "Even the Best Friend was Once a Stranger"......, Online watu wanakuwa on their best behaviour inakuwa risky kuingia kwenye mtandao kwa kutafuta mchumba, lakini unaweza ukapata mchumba online baada ya kukutana na mtu online mkajuana na kujenga urafiki..., Online inakuwa kama ice breaker, lakini mnajuana zaidi offline na kukuza relationship.

The "ONE" anaweza akapatikana popote pale iwe online, kanisani au sokoni, lakini kumjua the "ONE" you need more than an exchange of messages
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…