Mnaotafuta wapenzi hapa JF muwe mnatupa feedback mkiwapata hao muwapendao

It is very irritating, unahangaika kumtumia mtu mamia ya ujumbe PM Halafu hajibu wakati ni yeye mwenyewe ndio alikuwa anasema anatafuta mwenzi.

Mkiwapata semeni ili tusipotezeane muda
Hahahaha kaka shukuru shetani amepita mbali na waleti yako
 
It is very irritating, unahangaika kumtumia mtu mamia ya ujumbe PM Halafu hajibu wakati ni yeye mwenyewe ndio alikuwa anasema anatafuta mwenzi.

Mkiwapata semeni ili tusipotezeane muda
🤣🤣🤣🤣
 
A gentleman does not kiss and tell.
 
Back
Top Bottom