Yaan wewe umefanya nimechekaa....haya buana ngoja tutulie sie wana wa pauloKazi wanayo Wana wa Paulo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakazia.Unapoleta tangazo kusema unatafuta mume au mke mkristo jitahidi uwe specific kwani sasa hivi ukristo una madhehebu mengi, mfano
ORTHODOX
ROMAN CATHOLIC
LUTHERAN
ANGLICAN
PENTECOSTE
HUDUMA ZA KITUME NA KINABII
SILOAM
SABATO
MASHAHIDI WA YEHOVA n.k
Jitahidi kuwa wazi usije angukia mikononi mwa matapeli ila wanajiita WAKRISTO.
Ni ushauri tu!.
Aisee!Nakazia.
Pia Waislam nao waseme wanataka
1. Sunni
2. Shia
3. Ibadi
4. Ismail
5. Quaranist
6. Alawites
7. Bektash
8. Mevlevi
9. Ahmadiyya
Waislam wanao fake identity wamekuwa wengi sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kazi wanayo Wana wa Paulo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]