Mnaotafuta wapenzi muwe mnaandika madhehebu ya dini mnayoyahitaji

Mnaotafuta wapenzi muwe mnaandika madhehebu ya dini mnayoyahitaji

SN.BARRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
4,038
Reaction score
8,929
Unapoleta tangazo kusema unatafuta mume au mke mkristo jitahidi uwe specific kwani sasa hivi ukristo una madhehebu mengi, mfano

ORTHODOX
ROMAN CATHOLIC
LUTHERAN
ANGLICAN
PENTECOSTE
HUDUMA ZA KITUME NA KINABII
SILOAM
SABATO
MASHAHIDI WA YEHOVA n.k

Jitahidi kuwa wazi usije angukia mikononi mwa matapeli ila wanajiita WAKRISTO.

Ni ushauri tu!.
 
Nakazia.

Pia Waislam nao waseme wanataka
1. Sunni
2. Shia
3. Ibadi
4. Ismail
5. Quaranist
6. Alawites
7. Bektash
8. Mevlevi
9. Ahmadiyya

Waislam wanao fake identity wamekuwa wengi sana

Cc Top leader
 
Nakazia.

Pia Waislam nao waseme wanataka
1. Sunni
2. Shia
3. Ibadi
4. Ismail
5. Quaranist
6. Alawites
7. Bektash
8. Mevlevi
9. Ahmadiyya

Waislam wanao fake identity wamekuwa wengi sana
Aisee!
Kumbe nao wana madhehebu mengi!
 
Nakazia.

Pia Waislam nao waseme wanataka
1. Sunni
2. Shia
3. Ibadi
4. Ismail
5. Quaranist
6. Alawites
7. Bektash
8. Mevlevi
9. Ahmadiyya

Waislam wanao fake identity wamekuwa wengi sana
Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom