ni vile mods huwa wanaondoa within a minutes eeh?Acha uongo.
Ulishaona nani humu kafanya hivo.
Labda kama unawataka mid 20s.
Otherwise kuweni wapole mkiendelea kuwa single.
hahaaa hatutumi picha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkipigwa matukio muishie hukooo
Siwezi kuwasiliana kimahusiano na mtu sura yake nafanya ku imagine...hel no!
Duuh[emoji3]
Seriously picha kwanza mengine yanafata.Mkishapeana mawasiliano mtu akakwambia anaomba picha yako...tuma.
Unapomwambia "usiwe na haraka utaniona tu" maanake unaficha nini?
We si ndio umebandika tangazo kuwa una shida ya kuolewa? Picha unaichelewesha kwa minajili gani?! Unasubiri nini ili uonwe? Kikawaida mtu mpaka akuone kwa picha ndio atakuja/mtaonana face to face.
Tena wengine mna umri wa 40 huko halafu eti mtu anasema "usiwe na haraka utaniona tu"
Yaani baada ya maongezi yote hayo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
"KUWENI SIRIAZI AU BAKINI SINGLE"
Ukiona hivyo ujue vigezo hafifu.tutatuma picha kwenu wote 10?
hapana bora ujitoe tu mchujo uendelee
atakaebakia atatumiwa picha
wife materials hatuhitajimbwembwe za pichaUkiona hivyo ujue vigezo hafifu.
Sio wote tunataka wife materials mama, wengine tunataka wife decorations [emoji23]wife materials hatuhitajimbwembwe za picha
Ha ha ha...Ukiomba picha unaonekana hauko seriuos, maana haihusiki kabisa kwenye kuoana.
Material tunaangalia, Ila sura na umbo Ni Muhim pia.Anataka kukupima tu wewe unaangalia sura au material kichwani
Ha ha ha...
Picha inakosaje kuhusika na kuoana mkuu.
Utamuoaje mtu ambae huwez furahi ukimtizama au mkiongozana?
tengenezeni wa kwenuSio wote tunataka wife materials mama, wengine tunataka wife decorations [emoji23]
Kwann usitume picha, unachohofia Nini? Haujiamini?tutatuma picha kwenu wote 10?
hapana bora ujitoe tu mchujo uendelee
atakaebakia atatumiwa picha
nimeshajibuKwann usitume picha, unachohofia Nini? Haujiamini?
Sidhan Kama jf wanaruhusu upumbavu wa namna iyo.mje msambaze JF kama kawaida yenu?