Mnaotafuta waume

Mnaotafuta waume

Acha uongo.
Ulishaona nani humu kafanya hivo.
Labda kama unawataka mid 20s.
Otherwise kuweni wapole mkiendelea kuwa single.
ni vile mods huwa wanaondoa within a minutes eeh?

mnavyotumiana huko whatsap taarifa tunazo pia

hatutumi picha mpaka tuonane
 
ni vile mods huwa wanaondoa within a minutes eeh?

mnavyotumiana huko whatsap taarifa tunazo pia

hatutumi picha mpaka tuonane
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkipigwa matukio muishie hukooo
 
Mkishapeana mawasiliano mtu akakwambia anaomba picha yako...tuma.
Unapomwambia "usiwe na haraka utaniona tu" maanake unaficha nini?
We si ndio umebandika tangazo kuwa una shida ya kuolewa? Picha unaichelewesha kwa minajili gani?! Unasubiri nini ili uonwe? Kikawaida mtu mpaka akuone kwa picha ndio atakuja/mtaonana face to face.
Tena wengine mna umri wa 40 huko halafu eti mtu anasema "usiwe na haraka utaniona tu"
Yaani baada ya maongezi yote hayo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

"KUWENI SIRIAZI AU BAKINI SINGLE"
Seriously picha kwanza mengine yanafata.
 
Ukiomba picha unaonekana hauko seriuos, maana haihusiki kabisa kwenye kuoana.
Ha ha ha...
Picha inakosaje kuhusika na kuoana mkuu.

Utamuoaje mtu ambae huwez furahi ukimtizama au mkiongozana?
 
Anataka kukupima tu wewe unaangalia sura au material kichwani
Material tunaangalia, Ila sura na umbo Ni Muhim pia.

Wasijisahaulishe kua
Mwanamke Ni ua bhana, Kama halivutii Basi halifai
 
Ha ha ha...
Picha inakosaje kuhusika na kuoana mkuu.

Utamuoaje mtu ambae huwez furahi ukimtizama au mkiongozana?

Kiungo kikuu kwenye kuoana ni mbususu, hakuna mbususu hakuna ndoa, ila picha isipokuwepo bado ndoa inakuwepo.
 
Back
Top Bottom