Mnaotafuta waume

Mnaotafuta waume

livewise1

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
837
Reaction score
967
Mkishapeana mawasiliano mtu akakwambia anaomba picha yako...tuma.
Unapomwambia "usiwe na haraka utaniona tu" maanake unaficha nini?
We si ndio umebandika tangazo kuwa una shida ya kuolewa? Picha unaichelewesha kwa minajili gani?! Unasubiri nini ili uonwe? Kikawaida mtu mpaka akuone kwa picha ndio atakuja/mtaonana face to face.
Tena wengine mna umri wa 40 huko halafu eti mtu anasema "usiwe na haraka utaniona tu"
Yaani baada ya maongezi yote hayo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

"KUWENI SIRIAZI AU BAKINI SINGLE"
 
Haaaaaaa
 
Back
Top Bottom