kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Kama mtu akikutuhumu na kurudiarudia kuisema tuhuma hiyo mara nyingi kunaweza kutokea mambo mawili, ama watu kumpuuzia na kumuona chizi au watu watamuamini anachokisema na kumuona shujaa.
Hasa pale ambapo anaetuhumiwa hata jitokeza kujitetea, kukanusha, kusema ukweli ni upii au kumpeleka mahakamani kujisafisha.
Hasa pale ambapo anaetuhumiwa hata jitokeza kujitetea, kukanusha, kusema ukweli ni upii au kumpeleka mahakamani kujisafisha.