Hata mimi nimejaribu kumwelezea mlalamikaji ni kama anapiga porojo haelezi uhalisia wa tatizo ni kama anataka kumkomoa aliyempiga picha ,haelezei tatizo ni kama anazunguka tu mbuyu haileweki point yake nini?Nachokiona kama point ni ufike shekilango toka ubungo mataa ila umezungukia ubungo>mwenge>bamaga>sinza>shekilango!
Umezunguka sana yani make your point clear...
Umelipa hujapewa picha? Picha zmepigwa vibaya? Baadhi ya vitu kama Tv Screens setups hazikuwepo ukumbini?
Kwa mwanza wacheki ABC studio walifanya harusi yangu wako serious na kaziUko serious au unachangamsha mada tu, kazi unafanyia wapi? Mi itakuwa mwanza utaweza kuja na Ni bei gani?, nimeuliza hapa hapa jukwaani ili na wengine waone
Nick tulia watu wawa expose maana mmezidi utapeliSo namfahamu NICK, aliwahi kufanya Wedding ya Rafiki yangu mwaka huu hapo Dar es Salaam. ALIFANYA KAZI HIYO KWA UBORA NA UAMINIFU
Nilipoona hii post niliamua kumtafuta sikumpata, lakini rafiki yangu ambaye alifanya naye kazi alimpata na kumuuliza kuhusu Uzi huu ulioweka.
Ndugu, uzi wako una kasoro na viashiria kwamba UNATAKA TU KUMCHAFUA NICK KWA SABABU ZAKO. Kasoro hizo ni;
1. Huelezi Nick kakukosea nini haswa. Uko too general husemi ulichofanywa.
2. Umetanguliza kujihami kwingi kwamba huandiki kwa nia mbaya, ilinipa hofu kuona kwamba unaweza kuwa na nia mbaya. Umemaliza pia kwa kusema utaletewa povu, why uletewe povu kweny jambo hilo?
Nicki amejieleza na kuomba wanajamvi wapime mambo yafuatayo:
1. Yeye sio biashara ya mtandaoni ambayo mtu anaweza kupata tabu kuifahamu. YEYE NI KAMPUNI, INA OFISI ZAKE ZIKO SINZA. Hivyo kama kweli una malalamiko kwake, ni rahisi kabisa kumkamata na kufungua kesi. So fara Ofisni kwake hakuna malalamiko ya hivyo unavyosema kwamba eti unashindwa kumpeleka mahakamani.
2. Nicki anahusisaha suala hili na vita za kibiashara kwa sababu YEYE ANAJITANGAZA SANA NA KUTOA HUDUMA KWA BEI NAFUU jambo ambalo washindani wake kwenye biashara linawakera sana. Mnaungana kumpiga vita.
3. Nicki amehusisha hili na TUZO, mnajua wenyewe mambo yenu ya tuzo ambazo mwaka jana Nicki alishinda. Mwaka huu tena yuko Nominated, hivyo kuelekea tuzo hizo mmeanza kuwekeana fitna.
MSICHAFUANE, MWENYE MALALAMIKO YA KWELI TUAMBIE ULIFANYWA NINI, NICKI YUPO OFISNI KWAKE TUELEZE KWA NINI HUJAMKAMATA?
Uzi wako una dalili zote za chuki za kibiashara, umekosa mashiko na ukweli wa hoja. ACHA.
Shukrani Sana, hongera kwa kufanikisha harusi yako, waweza nipatia namba yao,Kwa mwanza wacheki ABC studio walifanya harusi yangu wako serious na kazi
Sina hamu na washona suti vijana wa kibongo, nikipata event yoyote bora ninunue nguo kuliko kwenda shona suti.
Ulishona kwa nani mwenye jina lake mjini?
unajua ukitapeliwa unakuwa tofauti sijui kwanini hawa watu wanawatapeli wenzao kiasi hikiNachokiona kama point ni ufike shekilango toka ubungo mataa ila umezungukia ubungo>mwenge>bamaga>sinza>shekilango!
Umezunguka sana yani make your point clear...
Umelipa hujapewa picha? Picha zmepigwa vibaya? Baadhi ya vitu kama Tv Screens setups hazikuwepo ukumbini?
Yeah akili inakuwa alert mda wote ukishatapeliwaga! Inataka uaminifu sana biashara ya mtandaoni hii!unajua ukitapeliwa unakuwa tofauti sijui kwanini hawa watu wanawatapeli wenzao kiasi hiki
hapo ana uchungu sana alivyotapeliwa ila najua umeshamuelewa mm mwenyewe nimetapeliwa sina hamu kufanya biashara na mtu ambaye mtandaonizimu
Mnafanyaje kazi na mafundi wenye majina hivyo?Mshona suti ambaye anaustaarabu angalau kwa upande wnagu naona ni Jm na Mtani kwakweli, wanazingatia muda wa kumaliza kazi ya mtu na hata kama pana excuse wanakujulisha, sitaki kukumbuka nilimsindikiza ndg yangu na kwa suti bega kushona suti ya shughuli yake yaliyotukuta tulikoma ni ahadi za njoo kesho njoo keshokutwa ikisindikizwa na kubadilishiwa aina ya kitambaa alichochagua na uzuri alipiga picha wakati anachagua[emoji3525][emoji847] .
Mi nilishona kwa 70k tuMnafanyaje kazi na mafundi wenye majina hivyo?
Mdogo wangu wakati wa send off, alienda shona suti speshoz, siku 2 kabla ya tukio hata kitambaa hakijakatwa.
Alienda polisi, kazi zote zilisimama, nguo ikashonwa usiku kucha. Asubuhi akaja fanya fitting.
Toka siku hiyo siwatamani hawa jamaa wenye majina, kazi mbovu hela nyingi.
Mtaani kuna mafundi suti wazuri sana na bei zao ndogo.
Juzi nilishona suti nzuri tu kwa 120k tena in time ikakamilika.
Acha kabisa wanakatisha tamaa sana hawa vijanaMaisha ni kuinuana,hizi kazi zinafanywa na vijana wenzetu.Tunapowapa kazi ni ili mpate riziki ya kazi zenu,sasa mnaharibu kesho kazi zikija kufanywa na watoka mbali mnalalamika,kuna waaminifu ila tasnia yenu imeingiliwa na watu wa hovyo sana ,mtu anajali kula na kunywa na kutongoza tu wanawake.Kuna mmoja nilimpa kazi ya birthday tu,kaja mbwembwe kibao,mara light hazifanyi kaz,video anarekodia simu ya mualikwa,wiki mbili kazi haijakimilika,ikaletwa video bado,ni mwaka sasa kimya,kakiniona na begi lake kanabadili njia.Uaminifu una uza vijana na unalipa,kazi ya picha nayo tuwape wakenya kama wenye mahotel walivyoajiri mameneja wakenya?Maisha ni kuinuana ila mnakatisha tamaa.
Mnafanyaje kazi na mafundi wenye majina hivyo?
Mdogo wangu wakati wa send off, alienda shona suti speshoz, siku 2 kabla ya tukio hata kitambaa hakijakatwa.
Alienda polisi, kazi zote zilisimama, nguo ikashonwa usiku kucha. Asubuhi akaja fanya fitting.
Toka siku hiyo siwatamani hawa jamaa wenye majina, kazi mbovu hela nyingi.
Mtaani kuna mafundi suti wazuri sana na bei zao ndogo.
Juzi nilishona suti nzuri tu kwa 120k tena in time ikakamilika.
Ningekuwa Mimi ndo wangejua kwanini raia wanalalamika wanajeshi ni wakorofi wanatesa watu.
Hela yangu ingerudi yote.mengi yana connection,kitu ungeambulia hapo ni kurudishiwa hela nusu tu,unadhani mtu anaamka tu na kuanza kufanya upuuzi kwa watu!!!!
Mnafanyaje kazi na mafundi wenye majina hivyo?
Mdogo wangu wakati wa send off, alienda shona suti speshoz, siku 2 kabla ya tukio hata kitambaa hakijakatwa.
Alienda polisi, kazi zote zilisimama, nguo ikashonwa usiku kucha. Asubuhi akaja fanya fitting.
Toka siku hiyo siwatamani hawa jamaa wenye majina, kazi mbovu hela nyingi.
Mtaani kuna mafundi suti wazuri sana na bei zao ndogo.
Juzi nilishona suti nzuri tu kwa 120k tena in time ikakamilika.
+255 756 143 998Shukrani Sana, hongera kwa kufanikisha harusi yako, waweza nipatia namba yao,