Mnaotaka kuoa Zanzibar, Samaki hageuzwi

Hajui huyo, karne hii bikra ipo dukani hata elfu 10 haifiki, tena anaulizwa unataka bikra yenye damu au mnato lakini ngumuπŸ™ŒπŸ»
 
Mgombea wao bado tupo naye au amebwaga manyanga ?
 
Mambo ya kuzimia KISA umeambiwa usimuoe MTU Hilo limeni kera SANA. NILI taka kumu oa pisi MOJA hapa ZANZIBAR nikaambiwa ninunue kabati kitanda na godoro. Nikahoji mi ninavo JE hivo namnunulia nani ilihali mi na YEYE tna enda kuishi pamoja nikajibiwa ni VYA mwanamke, nika ona tayari ubinafsi detected. Mi na we tunaenda kuishi pamoja mali zetu WOTE SA NAAMBIWA ETI hivo ni VYA mwanamke TU nika ona isiwe kesi nikakunja VYANGU kama nipo kumbe SIPO huyooooooo


Kwishaaaa


Bro Alex on da beats yoow
 
Hao ndo wanaohamasisha tigo. Ujinga ujinga tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…