Mnaotaka U Rais shirikisho la Riadha Tanzania, Uchaguzi ni Agosti 16 2025.

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
431
Reaction score
433


Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi wa shirikisho la riadha Tanzania ~RT Bw. Leornard Thadeo ametangaza uchaguzi wa rais na wajumbe kufanyika tarehe 16:08:2025 katika hoteli ya Aden Palace, Jijini Mwanza.

Aidha ametaja nafasi zinazogombewa ni rais wa shirikisho Nafasi (1) , makamu wa rais wa shirikisho (1) , mjumbe wa viti maalum wanawake (1) na mwisho ni wajumbe wa kamati ya Utendaji(4)

Pia amesisitiza kuwa fomu zitaanza kutolewa tarehe 16:06:2025 na mwisho wa kurudisha Fomu ni tarehe 18:07:2025 saa kumi kamili Alasiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…