Papa D
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 753
- 182
CHADEMA yangu imepatwa zimwi gani linalopelekea mambo kwenda hobela hobela.
Kule Tundu Lissu ameanza kuomba achangiwe pesa ya uchaguzi wakti hata hajateuliwa kupeperusha bendera ya chama.
Huku Msigwa na Nyalandu wameanza kutangaza kutoa ahadi wakati chama chao akijatoa ilani ya uchaguzi.
Mwenye kujua atueleze nini kinaendelea huko?