Chadema wamekosea sana kwa hili la urais...
Awamu hii wangeweka mikakati kwanza ya kupata viti vingi vya ubunge.... Hivi awamu hii ilivyo unapata wapi imani kua utamshinda Jpm?
Na kwanini basi kusiwe na official candidate?
Wameniboa kiaina
Chama cha ajabu hiki kipokipo tuCHADEMA yangu imepatwa zimwi gani linalopelekea mambo kwenda hobela hobela.
Kule Tundu Lissu ameanza kuomba achangiwe pesa ya uchaguzi wakti hata hajateuliwa kupeperusha bendera ya chama.
Huku Msigwa na Nyalandu wameanza kutangaza kutoa ahadi wakati chama chao akijatoa ilani ya uchaguzi.
Mwenye kujua atueleze nini kinaendelea huko?
Huu ni ufinyu wa fikra, hakuna nchi wagombea wanatangaza nia bila vipaumbele; CCM yenyewe na Uzuzu wao 2015 hata Wasira alikuwa na vipaumbele 11.CHADEMA yangu imepatwa zimwi gani linalopelekea mambo kwenda hobela hobela.
Kule Tundu Lissu ameanza kuomba achangiwe pesa ya uchaguzi wakti hata hajateuliwa kupeperusha bendera ya chama.
Huku Msigwa na Nyalandu wameanza kutangaza kutoa ahadi wakati chama chao akijatoa ilani ya uchaguzi.
Mwenye kujua atueleze nini kinaendelea huko?
Tulia wewe ...haujui hata serikali inaendeshwaje....!CCM na ilani yake.
1. Stigler imetoka wapi?
2. Ndege zimeka wapi
3. Uwanja wa ndege chato umetoka wapi
4. Yale majengo ya chato yametoka wapi
Hetu pitia ilani ya ccm utumbie na uweke hapa ushahidi hivi kama vipo humo
Chadema mwalimu wao KIPOFU.Chadema wamekosea sana kwa hili la urais...
Awamu hii wangeweka mikakati kwanza ya kupata viti vingi vya ubunge.... Hivi awamu hii ilivyo unapata wapi imani kua utamshinda Jpm?
Na kwanini basi kusiwe na official candidate?
Wameniboa kiaina
Kweli kabisaChama cha hovyo saana hiki hakina utaratibu.
Usikute ilani anaandaa mbowe peke yake na Joyce mkya ndio maana wameamua watoke kivyao vyao.
Ila pia mziki wa jpm umewachanganya kabisa.
Kwahiyo wamecopy.Watia nia ya uraisi kupitia CCM mwaka 2015 walikuwa hawatoa ahadi au kutangaza vipaumbele vyao wakati wanatangaza nia ya kugombea uraisi kupitia CCM?
Kila jambo lina maandalizi yakeCHADEMA yangu imepatwa zimwi gani linalopelekea mambo kwenda hobela hobela.