Uchaguzi 2020 Mnaotangaza nia ya kugombea Urais CHADEMA kwa kutoa vipaumbele mmevipata wapi wakati chama hakijatengeneza ilani?

Mgombea uongozi lazima uwe na maono yako pia nje ya ilani ya chama chako, ndo maana Mwaka 2015 wote waliotangaza nia nao walitoa maono yao pia kupitia ccm.Naamini hata watakaotangaza nia kupitia ccm kuanzia Leo lazima watatoa ahadi zao binafsi pia.ukiachana na ilani ya chama pia.
 
Aisee..!! CDM inawasumbua sana kimawazo... kwani ile ilani ta CCM inayosema kila kijiji kitapewa 50M, ilitekelezwa..!!??
 
Mgombea lazima awe na malengo yake binafsi, inaelekea haujui siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…