chuo january first year!!! Mpk warud wenzen jeshn naji mnaingia class
Katika mahojiano ya tbc na waziri wa elimu jana usiku,naibu waziri Mulugo alisema"wahitimu wa kidato cha sita wataifurahia zaidi hii ratiba mpya ya mihula,kwani zamani f6 walikuwa wakikaa nyumbani takriban miezi 7 kuanzia mwezi march hadi september ndipo wanaingia vyuoni lakini kwa sasa watakuwa wakikaa kuanzia mwezi may hadi september then wanaingia vyuoni"mwisho wa kunukuu.
Kwa ambao hamkuaangalia; mwaka huu tcu hawatawachagulia watu kozi na vyuo kwa wale wote watakaoshndwa kwenye ushndan ktka kwenye kozi zao tano zile walizochagua! Xo kutakuwa na second chance ya kuapply tena kwa wale wte watakaokosa kwenye zile kozi zao tano walizochagua! NB; gharama ni ile ile ulipii tena! Xo ww kama kuna koz zaid ya 3 umewekewa NO jiandaee ku apply mara ya pilii
Nna NO 1 afu no yenyew ya kishamba tu....yani RUCCO nimepigwa no wakati hata watu walioapply wachache vbaya...
kakaa hapo kna utata! Coz mwaka huu kabla hatujafanya mtihan wa fm6 tuliletewa ratiba mbili ya mwez 2 na 5! Wakisema mihula ya shule za sekondar, vyuo, na vyuo vya elimu ya juu imebadilika, kama ifuatavyo, form4 watamaliza mwez wa 11(november) na kuingia a'level mwez wa 7(july), form 6 watamalza mwez wa 5 na kuingia chuo january!! tena huo waraka tulisomewa ss shulen kwetu! Sasa mkuu taarifa ya hyo wazir wako inachanganyaaa+haieleweki=pumbaaa
kakaa unaonajee huo mfumoo lakin! Me nina YES zote ila Sua majanga agribsness watu buku3 wameomba waliowekewa yes watu buku na mia nane! Walioweka 1st choice wat mia nane na koz inahitaji watu 220! Mbrazil angalia kwenye profle yako hujue una uhakikaa chuo gan
First choice niliweka Ardhi...hadi sasa walioweka first choice ni 130' na sumthing iv alafu wanahitaji watu 120...i think hapo na nafasi kubwa ukizingatia mi uchumi tangu advance so nna advantage...nkikosa hiyo second choice ni IFM Inahitaji watu 440 untill now watu kama 100 tuu wameweka first choice....so nafikiri hizo mbili naeza kuepo
Unaangaliaje wa2 wangapi wamejaza course hio? As first choice.au second?
kakaa unaonajee huo mfumoo lakin! Me nina YES zote ila Sua majanga agribsness watu buku3 wameomba waliowekewa yes watu buku na mia nane! Walioweka 1st choice wat mia nane na koz inahitaji watu 220! Mbrazil angalia kwenye profle yako hujue una uhakikaa chuo gan
Uwe unajitahidi kusikiliza vizuri na kabla hujaamua kutoa kashfa jitathimini wewe kwanza. unajua kuna vyuo na vyuo vikuu tena kuna shahada na stashahada, kama ungeweza kutofautisha hayo maneno ungetoka kwenye kundi ambalo umeliita la pumbaa. bofya hapa kupata uhakika View attachment 101926