Mnaotarajia kwenda vyuo vikuu angalieni itv.

Nimeusoma lakini Waraka unaongelea mda wa kuanza kwa mitihani kwa form four na form six,pia mda wa kujiunga na vyuo vya ualimu.Hakuna sehemu wameongelea vyuo vikuu kabisa.

mier! Kapu
 
mkuu ardhi k2 cha (LMV nin au BAF) ila mm Ardhi uhakika kwenye Building economics(Quantity suverying) coz waliomba 658 waliowekewa yes 278 tulioweka first choice 75 wakat chuo kinachukua watu 150 kwa hyo kozi! Xo God akipenda tutakutana ARUUUUU!! mwana ndabooooo lizangat mpaka kielewekeee

Kama daweeeeez.....pamoja sana tusubirie hayo madudu yao tuoneeee
 
mkuu ardhi k2 cha (LMV nin au BAF) ila mm Ardhi uhakika kwenye Building economics(Quantity suverying) coz waliomba 658 waliowekewa yes 278 tulioweka first choice 75 wakat chuo kinachukua watu 150 kwa hyo kozi! Xo God akipenda tutakutana ARUUUUU!! mwana ndabooooo lizangat mpaka kielewekeee

BAF first choice
Land valuation 3rd choice...sidhani kama hii ntapata nshajiexclude hapa
 
vp land valuation ina watu wangapi walioomba! Coz cjaijazaa mm niliona itakuwa na ushndan coz had HGL,HGK wanaombaaa, tena kuna bro wangu mwaka wa 3 ardhi ameniambia hyo kozi mwaka jana wamechukua dvn 1 pekee yake!
 
mbona mimi kuangalia wangapi wameandikiwa yes na wangapi waliomba inagoma kufunguka, nisaidie aise
 
ukishalog in! Nenda kwenye my profile, ukishaletewa profile lako elekeza kimshale cha mouse kwenye zile code namba za kozi na uache hvo hvo bla kuclick itakuletea yenyewe hzo information! Over
 
kakaa unaonajee huo mfumoo lakin! Me nina YES zote ila Sua majanga agribsness watu buku3 wameomba waliowekewa yes watu buku na mia nane! Walioweka 1st choice wat mia nane na koz inahitaji watu 220! Mbrazil angalia kwenye profle yako hujue una uhakikaa chuo gan

aise kazi.ardhi ,mzumbe,na ud wengi pia,lakn ruco mbrazil umewekewa no kwanini wakat watu wana EEE na f za hesabu o level na advance eca wamewekewa yes?kwa couse ya bafit
 
Hata mi nashangaa kaka...ila mpaka leo haijabadilika pale imekula kwanguu
 
dah! chuo kimetoa nafasi moja ya kozi, na tulio omba watu 9.... yani ni baraa

mkuu ardhi k2 cha (LMV nin au BAF) ila mm Ardhi uhakika kwenye Building economics(Quantity suverying) coz waliomba 658 waliowekewa yes 278 tulioweka first choice 75 wakat chuo kinachukua watu 150 kwa hyo kozi! Xo God akipenda tutakutana ARUUUUU!! mwana ndabooooo lizangat mpaka kielewekeee
 
kakaa unaonajee huo mfumoo lakin! Me nina YES zote ila Sua majanga agribsness watu buku3 wameomba waliowekewa yes watu buku na mia nane! Walioweka 1st choice wat mia nane na koz inahitaji watu 220! Mbrazil angalia kwenye profle yako hujue una uhakikaa chuo gan

Kaka kuangalia idad ya wa2 walio omba kwenye kozi unafanyeje hapo
 
log in! Nenda kwenye my profile, likija profle lako elekeza mshale wa mouse kwenye code namba za kozi zako kule kwenye 1st column, uc click wala nn we weka kimshale tuu information zitajireta zenyewee! Fanya hvo hvo kwa kla koz! Vp ukfanikiwa uje kunipa majibu!
 
hivi hawajazungumzia watu wataenda chuo lini?manake kuna wanaodai ni january mwakani
 
Back
Top Bottom