Hypersonic WMD JF-Expert Member Joined Apr 11, 2024 Posts 1,337 Reaction score 1,876 Feb 16, 2025 #1 Watekinologist Mnaendaje nayo hiii Naona advertisement kwamba watu wanatumia CHATGPT kutengeneza had 100$ kwa siku mnafanyaje
Watekinologist Mnaendaje nayo hiii Naona advertisement kwamba watu wanatumia CHATGPT kutengeneza had 100$ kwa siku mnafanyaje
Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 17,022 Reaction score 36,936 Feb 16, 2025 #2 As long as hakuna pesa unayotoa ili upate ni salama.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 16, 2025 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
miviga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2024 Posts 1,721 Reaction score 6,037 Feb 16, 2025 #4 Hiyo umeona nje au hapa Tz? Wabongo hawtangazagi fursa, yawezakua hapo wanatafuta malighafi binadamu
Hypersonic WMD JF-Expert Member Joined Apr 11, 2024 Posts 1,337 Reaction score 1,876 Feb 16, 2025 Thread starter #5 naona wwtu wa nje ndo wanatangaza sana!! miviga said: Hiyo umeona nje au hapa Tz? Wabongo hawtangazagi fursa, yawezakua hapo wanatafuta malighafi binadamu Click to expand... sasa wabongo nawajua ni wachoyo huwa wanakula kimya kimya
naona wwtu wa nje ndo wanatangaza sana!! miviga said: Hiyo umeona nje au hapa Tz? Wabongo hawtangazagi fursa, yawezakua hapo wanatafuta malighafi binadamu Click to expand... sasa wabongo nawajua ni wachoyo huwa wanakula kimya kimya