#COVID19 Mnaotishia watu wanaotaka kupata Chanjo ya UVIKO-19 mna shida vichwani mwenu

#COVID19 Mnaotishia watu wanaotaka kupata Chanjo ya UVIKO-19 mna shida vichwani mwenu

Acha uongo wewe! mimi nimetoa damu mara 2 na nilichanja tena chanjo mbili tofauti, Jansen na Pfizer na hakuna kitu unachokisema hapo.
Ni uongo mbn Kuna jamaa yangu alipata chanjo ya Corona na anajitolea Damu Kila mwaka kuanzia mwaka jana ,na mwaka huu kachangia Damu.

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Mishirikina hiyo imezoea ushirikina tuuuu
Watu wanakwenda kisayansi wao wamekalia ushirikina na misanamu yao
 
Back
Top Bottom