P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,422 Reaction score 6,108 Jul 4, 2023 #21 BARD AI said: Acha uongo wewe! mimi nimetoa damu mara 2 na nilichanja tena chanjo mbili tofauti, Jansen na Pfizer na hakuna kitu unachokisema hapo. Click to expand... hepache72 said: Ni uongo mbn Kuna jamaa yangu alipata chanjo ya Corona na anajitolea Damu Kila mwaka kuanzia mwaka jana ,na mwaka huu kachangia Damu. Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app Click to expand... Mishirikina hiyo imezoea ushirikina tuuuu Watu wanakwenda kisayansi wao wamekalia ushirikina na misanamu yao
BARD AI said: Acha uongo wewe! mimi nimetoa damu mara 2 na nilichanja tena chanjo mbili tofauti, Jansen na Pfizer na hakuna kitu unachokisema hapo. Click to expand... hepache72 said: Ni uongo mbn Kuna jamaa yangu alipata chanjo ya Corona na anajitolea Damu Kila mwaka kuanzia mwaka jana ,na mwaka huu kachangia Damu. Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app Click to expand... Mishirikina hiyo imezoea ushirikina tuuuu Watu wanakwenda kisayansi wao wamekalia ushirikina na misanamu yao