Mnaotoa mizigo ya kuuza kutoka Nairobi kuja Dar es Salaam mnatumia usafiri gani?

Mnaotoa mizigo ya kuuza kutoka Nairobi kuja Dar es Salaam mnatumia usafiri gani?

noelahope

Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
19
Reaction score
13
Embu tusaidiane wadau wanaotoa mizigo Nairobi usafiri kuja Arusha mnatumia UPI? Nimetumia dar ex press kidogo lakini hela zinalipwa nyingi Na saingine mzigo ubaki boda.....mwenye mawasiliano Na hizi "Perfect " najua boss anaitwa zungu ila sinaga Namba mwenye Nazo atusaidie wadau mana vijana wengine ukiwapa mzigo kama si boss wanaweza poteza Na hakuna atakayekulipa...natanguliza shukrani zangu
 
Tafuta panya road au mzigo wako uje uchomwe moto kama wale vifaranga wale
 
Back
Top Bottom