noelahope
Member
- Sep 6, 2018
- 19
- 13
Embu tusaidiane wadau wanaotoa mizigo Nairobi usafiri kuja Arusha mnatumia UPI? Nimetumia dar ex press kidogo lakini hela zinalipwa nyingi Na saingine mzigo ubaki boda.....mwenye mawasiliano Na hizi "Perfect " najua boss anaitwa zungu ila sinaga Namba mwenye Nazo atusaidie wadau mana vijana wengine ukiwapa mzigo kama si boss wanaweza poteza Na hakuna atakayekulipa...natanguliza shukrani zangu