KERO Mnaotoka mazoezini jioni, ogeni kabla ya kupanda usafiri wa umma! Harufu ya jasho lenu ni kali na inakera

KERO Mnaotoka mazoezini jioni, ogeni kabla ya kupanda usafiri wa umma! Harufu ya jasho lenu ni kali na inakera

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu

Kuna hii tabia ya baadhi ya watu kuingia kwenye usafiri wa umma nyakati za jioni wakiwa wanatoka mazoezini bila kuoga, wananuka jasho na kwa kweli huwa wanakwaza sana abiria wengine.

Tunajua mazoezi ni afya ila, Kaka na dada zangu mnaotoka gym, jitahidini kuoga kabla ya kupanda usafiri wa umma. Harufu kali ni kero kwa abiria wengine

Tabia hii imekuwa ikijirudia rudia na abiria wengi huaonekana kukereka, hali hii inahitaji kuzingatiwa ili kudumisha ustaarabu na usafi katika usafiri wa umma.

1778591652403.png
 
Hilo jasho ni la nguo chafu, au kutokuoga muda mrefu, au kutopaka manukato
 
Back
Top Bottom