Habari za humu jukwaani , niende moja kwa moja kwenye mada
Matumizi ya AI (akili mnemba) kwa dunia ya sasa hayawezi kuepukika , na matumizi hayo yapo karibu kila sekta iwe ni biashara,elimu,jeshini, ma engineers ,Doctors ,waandishi wa habari ,content creators hata wengine ambao wanaitumia AI (akili mnemba) katika shughuli mbalimbali
Prompts au instructions kwa kiswahili maelekezo ambayo unaipa AI ambayo unaitumia ndio ambayo itafanya mada yako iwe nzuri,fupi,ndefu ,mbaya au hata yakutisha
Kwa muda sasa nimekuwa nikiona mada kadhaa za wanajamiiforums ambazo zimeandikwa kwa AI ,kiuhalisia sio mbaya kutumia katika uandisha na kuzalisha mawazo au ku generate ideas
Ila unapoleta mada ambayo imeandikwa kwa AI bila kuchambuliwa , kuhaririwa au kufupishwa hata kwa akili yako kidogo hapo ndipo shida inapoanza maana sisi tunaopitia nakushawishika na mada yako ndio ambao tunaona huyu ana mada nzuri ila ndefu na hata haina mawazo yake walau kidogo
Ni hayo tu.
#Mwanafamilia