WanajF naomba mnisaidie hasa wale wanaotumia App ya UTT Amis! Nilifungua akaunti kwa kutumia hiyo App sasa pale kwenye usajili wa namba ya simu ya kutumia inanitaka niingize OTP wanayotumia kwenye simu!
Baada ya kuweka hiyo OTP inakubaliwa na kunitaka niingize namba ya siri!Ajabu kila namba ya siri ninayoingiza inakataa!Msaada nyie mlifanyaje?
Pia ukitaka kuviona vipande katika akaunti yako unaenda wapi?