Moja ya eneo utt ni wa hovyo ni kwenye hiyo app. Mimi mwenyewe nilipitia hali hii mpaka akaunti wakaifungia maana sikutengeneza namba ya siri lakini wanaiomba. Labda ufike ofisini kwaoWanajF naomba mnisaidie hasa wale wanaotumia App ya Utt Amis!Nilifungua akaunti kwa kutumia hiyo App sasa pale kwenye usajili wa namba ya simu ya kutumia inanitaka niingize OTP wanayotumia kwenye simu!Baada ya kuweka hiyo OTP inakubaliwa na kunitaka niingize namba ya siri!Ajabu kila namba ya siri ninayoingiza inakataa!Msaada nyie mlifanyaje?Pia ukitaka kuviona vipande katika akaunti yako unaenda wapi?
Nashukuru sana kwa ushauri,nitaufanyia kazi!Vipi kuhusu kuona kilichomo kwenye akaunti kama vipande nakadhalika unafanyaje?Moja ya eneo utt ni wa hovyo ni kwenye hiyo app. Mimi mwenyewe nilipitia hali hii mpaka akaunti wakaifungia maana sikutengeneza namba ya siri lakini wanaiomba. Labda ufike ofisini kwao
Nashukuru sana kwa ushauri,nitaufanyia kazi!Vipi kuhusu kuona kilichomo kwenye akaunti kama vipande nakadhalika unafanyaje?Moja ya eneo utt ni wa hovyo ni kwenye hiyo app. Mimi mwenyewe nilipitia hali hii mpaka akaunti wakaifungia maana sikutengeneza namba ya siri lakini wanaiomba. Labda ufike ofisini kwao
Mkuu mnakosea sehemu ndogo sana, registration fanyia kwenye menu yao *150*82#Moja ya eneo utt ni wa hovyo ni kwenye hiyo app. Mimi mwenyewe nilipitia hali hii mpaka akaunti wakaifungia maana sikutengeneza namba ya siri lakini wanaiomba. Labda ufike ofisini kwao
Iyo utt ni kitu ghani!WanajF naomba mnisaidie hasa wale wanaotumia App ya Utt Amis!Nilifungua akaunti kwa kutumia hiyo App sasa pale kwenye usajili wa namba ya simu ya kutumia inanitaka niingize OTP wanayotumia kwenye simu!Baada ya kuweka hiyo OTP inakubaliwa na kunitaka niingize namba ya siri!Ajabu kila namba ya siri ninayoingiza inakataa!Msaada nyie mlifanyaje?Pia ukitaka kuviona vipande katika akaunti yako unaenda wapi?
Huko ndiko nilikoanzia ikagoma!Ilikuwa inanitumia ujumbe wa ombi limeshindikana!Nikawasiliana nao wakadai nifungue akaunti kupitia App,nikafanya hivyo ila nikashindwa kuipata akaunti namba,nikawasiliana nao kwa barua pepe wakanitumia akaunti namba! Ajabu siwezi kuendelea mbele na nikirudi kutumia *150*82# nako inagoma!Msaada please!Mkuu kabla haujaenda kwenye App jisajili kwanza kwenye menu yao ya *150*82# ukishamaliza watakupa option ya kuweka no ya siri ,baada ya hapo ndo utaweza kuingia kwenye app
Huwezi tengenezea no ya siri kwenye app yao ni kama ilivyo kwa app ya Crdb mobile qpp
Nenda ofisini kwao wakurekebishie, hata mimi nilipata changamoto nikaenda ofisini kwao na wakanirekebishia sasa natumia app kuweka na kutoa bila shida kabisaWanajF naomba mnisaidie hasa wale wanaotumia App ya UTT Amis! Nilifungua akaunti kwa kutumia hiyo App sasa pale kwenye usajili wa namba ya simu ya kutumia inanitaka niingize OTP wanayotumia kwenye simu!
Baada ya kuweka hiyo OTP inakubaliwa na kunitaka niingize namba ya siri!Ajabu kila namba ya siri ninayoingiza inakataa!Msaada nyie mlifanyaje?
Pia ukitaka kuviona vipande katika akaunti yako unaenda wapi?
Nielekeze namna ya kutoa hela kupitia App ya UTT mkuu.Nenda ofisini kwao wakurekebishie, hata mimi nilipata changamoto nikaenda ofisini kwao na wakanirekebishia sasa natumia app kuweka na kutoa bila shida kabisa
Kutoa au kuuza vipande tumia ussd yao *150*82# nenda sehem ya kuuza vipande utaweka kiasi unachotaka kuuza halaf utapata meseji na utasubiri ndan ya siku 3 za kazi pesa itaingia kwenye akaunt yako ya bank uliyojisajili nayo.. kuuza vipande mwisho ni mil 2 kwa siku.Nielekeze namna ya kutoa hela kupitia App ya UTT mkuu.
Nashukuru sana kwa maelezo mazuri!Mimi ni mgeni mno kwa UTT!Ndiyo nimeanzaKutoa au kuuza vipande tumia ussd yao *150*82# nenda sehem ya kuuza vipande utaweka kiasi unachotaka kuuza halaf utapata meseji na utasubiri ndan ya siku 3 za kazi pesa itaingia kwenye akaunt yako ya bank uliyojisajili nayo.. kuuza vipande mwisho ni mil 2 kwa siku.
Nb: hakikisha una salio au vocha ukitumia ussd yao
Ila hizi taasisi zetu ni changamoto. Hivi kweli hakuna watu wa UTT wanapita humu? Huyu jamaa anayo genuine problem. Asaidiwe.WanajF naomba mnisaidie hasa wale wanaotumia App ya UTT Amis! Nilifungua akaunti kwa kutumia hiyo App sasa pale kwenye usajili wa namba ya simu ya kutumia inanitaka niingize OTP wanayotumia kwenye simu!
Baada ya kuweka hiyo OTP inakubaliwa na kunitaka niingize namba ya siri!Ajabu kila namba ya siri ninayoingiza inakataa!Msaada nyie mlifanyaje?
Pia ukitaka kuviona vipande katika akaunti yako unaenda wapi?
Atakua ameshapata msaadaIla hizi taasisi zetu ni changamoto. Hivi kweli hakuna watu wa UTT wanapita humu? Huyu jamaa anayo genuine problem. Asaidiwe.
Ikiwa nimeweka fedha zangu na nikahitaji kujiondoa, naweza chukua fedha zangu zote kwa UTT?
Quote ReplyReport Edit