Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Tafuta kwanza tafsiri ya neno kuua ndio uje tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Calendar method ndio njia salama love
Aloo huyo Mungu anastahili kifungo kwa mauaji yote haya.Mungu wako huyo huyo ametengeneza mfumo wa sperms million kufa na mmoja kubaki, Mungu wako huyo huyo ametengeneza mfumo wa mayai kufa kwa menstruation, Mungu wako huyo huyo ametengeneza siku salama, Mungu wako huyo huyo anasababisha miscarriage na still births, Mungu wako huyo huyo ameua watoto wake karibu wote bila huruma kwenye mafuriko, Sodom na Gomorrah, watoto wa kwanza wa misri, watoto wa maeneo waisraeli waliamuliwa kuteka na kadhalika...
Huyo ni muuaji namba moja wa watoto hawezi kutuambia kitu
Basi huyo Mungu ni Mkatili, Muovu na Muuaji.Yeye ndiye muuambaji wa vyote, hivyo anayo haki na mamlaka ya kuua.
Ndiyo maana ya usemi wa "Bwana alitoa, Bwana ametwaa".
Me nashangaa sijui watu wanakwama wapi na kalenda. Ila nadhani moja wapo ya sababu ya watu kufeli kutumia kalenda ni pamoja na kuwa na mabwana wengi.Njia salama ni ya kufuata Calendar tu
Siku mwenzi wako akiwa Siku za hatari hamshiriki
Kwani ni nini kibaya ameandika?!Wakati mwingine kama hamna vitu vya kuandika JF muwe wasomaji tu...
Umesema sahihi Mkuu, yote uliyoyaandika hapa ni kweli tupu 👏👏Me nashangaa sijui watu wanakwama wapi na kalenda. Ila nadhani moja wapo ya sababu ya watu kufeli kutumia kalenda ni pamoja na kuwa na mabwana wengi.
Mwanamke anawezaje kujicontrol kama anakuwa na wanaume wengi wanaomuingilia kila wakati?
Kwa wastani binti wa kisasa unakuta ana wanaume 6 hadii 10. Na wanamrukia wote anachofanya ni kuwa shuffle.
Kwa wiki unakuta ameshalala na wanne. Siku za mwezi ni tano. Ukitoa hizo tano zilizobakia ndipo mshike mshike wa kuingiliwa umelala hapo, bado hajameza maP2.
Tafrani.
Mwanamke asipokuwa na umalaya anakuwa salama na anajilinda na mengi sana.
unafikiri kasumba hii imeanza wapi naanza hapaBabu sio kwa wanaume hawa wa sasa!! Kuna mmoja ana uzi wake humu anauliza afanye nini mkewe akiwa ana bleed, sembuse umkatalie siku za hatari??? Si ndo atakubaka!!?
🤣🤣Mnajua kumtetea kinoma...bac na mwanamke akitumia p2 usimlaumu ni tumbo lakeYeye ndiye muuambaji wa vyote, hivyo anayo haki na mamlaka ya kuua.
Ndiyo maana ya usemi wa "Bwana alitoa, Bwana ametwaa".
Wafia dini na sayansi ni paka na mbwa achana naoWanaotumia p2 hakuna uuwaji wanaoufanya.Mimba hutungwa baada ya siku3 tangu mkutane kimwili,yani ile fertilization ya kuunganisha yai la mwanamke na mbegu ya mwanaume.P2 inazuia mimba isitungwe,kwaiyo hakuna wanachoua.
So mwanaume mwenzako akipenda ngono Sana we unawashwaunafikiri kasumba hii imeanza wapi naanza hapa
Tamaduni tumejengewa sasa na sio kosa lao waachen matumiz ya hivyo vizingiti mimba na warudishe afya zao sina usahihi lakini dawa ya vizingiti mimba inaleta shida ya kumfanya mwanaume kupenda ngono san nitaleta tafiti utajua
We si ulienda ukawaonaWe waache siku ya mwisho huko ahera watakutanishwa na watoto wao utakuta dada mmoja ana vitoto 25 vyote aliviua
One questionKutumia P2 ni kuua mtoto wako mtarajiwa. Otherwise kwann uimeze. Bora hata mwanaume kuvaa condom hatuwezi hesabu.
Ndio maana mwanaume anaweza tumia condom kwa miaka 10 hata 20 ila ukifika muda akaamua kuwa sasa anataka kupata mtoto au watoto, atawapata bila shida sababu kutumia condom hakuna madhara katika mfumo wa uzazi wala haina maudhui ya kuua bali kuzuia tu maradhi na mimba kutunga.
Ila kutumia P2 ni dhamira ya kuua. Na ukitumia hizi dawa kwa zaidi ya miaka 10 au zaidi, then jiandae tu kuwa mgumba maana huo mfumo wako wa uzazi kama mwanamke hautakuwa salama hata kidogo.
Kwa kweliAloo huyo Mungu anastahili kifungo kwa mauaji yote haya.
Mungu huyo ameua maelfu ya watoto, murderer God.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣✌️ila wamwaga nje na wavaa condom wao wataiona pepo eh😂
😂😂🤣🤣🤣🤣✌️
Vitamkung'uta hadi atashika adabu.We waache siku ya mwisho huko ahera watakutanishwa na watoto wao utakuta dada mmoja ana vitoto 25 vyote aliviua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila wamwaga nje na wavaa condom wao wataiona pepo eh[emoji23]