sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mambo ya kutembea na simu 2 kisa laini 2 yalinishinda aisee.Laini 2 tuu 078 na 071 basiiiiiii
Simu moja ..
Yaaap wee kama mimi tuu..Mambo ya kutembea na simu 2 kisa laini 2 yalinishinda aisee.
Simu hata iwe kali kama haina laini 2 naghairi,
nakumbuka hapo 2019 Kuna rafiki yangu alikuwa anahitaji pesa ya dharura kwa kuuza simu yake laki 2 na nusu, hii simu ilikuwa na mwezi tu aliinunua dukani laki 7.Yaaap wee kama mimi tuu..
Mi haijalishi yaani sa hvi kuwa ma simu mbili mbili siwezi kabisa..
Siwezi
Kuna watu wanafata mkumbo kwenye kuchagua simu....nakumbuka hapo 2019 Kuna rafiki yangu alikuwa anahitaji pesa ya dharura kwa kuuza simu yake laki 2 na nusu, hii simu ilikuwa na mwezi tu aliinunua dukani laki 7.
Nilipenda camera yake, umbo lake, ubora , n.k. lakini aliponiambia ni laini 1 vibe lote likaisha.
Hio ni binafsi sisi tunaangalia brand boss na performance ya simuBinafsi kigezo cha kwanza kabisa kwenye kununua simu yangu huwa inabdi ijitosheleze kwenye suala la kuwa na
Inategemea na sim yako, me natumia Samsung inakaa charge siku 2 na muda mwingi nimewasha data naperuziBattery ndio chanzo.Smartphone hazikai na chaji muda mrefu inabidi uwe na lini ya kiswaswadu ili uwa hewani muda wote
KATAA NDOA.Mimi nina simu 2 laini 5.
- Simu ya kwanza laini 3, - simu ya pili laini 2.
Matumizi yake sasa
° Laini 2 zinajulikana na watu wote. Mojawapo ya hizi nimesajililia sehemu kama email, bank, nida, kwenye CV nk. Hizi muda mwingi hewani.
° Laini ya 3 inajulikana na watu wote isipokuwa kazini. Nikiamua, nawazimia kazini laini 2 za hapo juu halafu naendelea na mishemishe mtaani huku mawasiliano yakitumika kwa laini hii ya 3. Nikiibuka nasema nilikuwa shamba huko.
° Laini ya 4 nikitongoza demu au mtu ambaye sitaki mawasiliano naye baada ya kazi fulani mfano polisi nk. ndio nampa hiyo namba. Hiyo kuizima muda wowote sionagi kazi hata siku 5.
Hii pia ndio naitumia kama afisa ubashiri.
° Laini ya 5 ni Lipa namba. Hii simpigii mtu yeyote, hata nikipigiwa najua ni wrong number, nitajibu tu umewrong.
Nalinda sana mawasiliano.
Siwezi kumpigia mtu kwa namba ambayo haimhusu. Hata kama nimeishiwa salio na nina salio kwenye namba ambayo haikuhusu, nitajitahidi niunge kifurushi kwa namba husika nipige kwa namba unayoijua.
DuhMimi nina simu 2 laini 5.
- Simu ya kwanza laini 3,
- simu ya pili laini 2.
Matumizi yake sasa
° Laini 2 zinajulikana na watu wote. Mojawapo ya hizi nimesajililia sehemu kama email, bank, nida, kwenye CV nk. Hizi muda mwingi hewani.
° Laini ya 3 inajulikana na watu wote isipokuwa kazini. Nikiamua, nawazimia kazini laini 2 za hapo juu halafu naendelea na mishemishe mtaani huku mawasiliano yakitumika kwa laini hii ya 3. Nikiibuka nasema nilikuwa shamba huko.
° Laini ya 4 nikitongoza demu au mtu ambaye sitaki mawasiliano naye baada ya kazi fulani mfano polisi nk. ndio nampa hiyo namba. Hiyo kuizima muda wowote sionagi kazi hata siku 5.
Hii pia ndio naitumia kama afisa ubashiri.
° Laini ya 5 ni Lipa namba. Hii simpigii mtu yeyote, hata nikipigiwa najua ni wrong number, nitajibu tu umewrong.
Nalinda sana mawasiliano.
Siwezi kumpigia mtu kwa namba ambayo haimhusu. Hata kama nimeishiwa salio na nina salio kwenye namba ambayo haikuhusu, nitajitahidi niunge kifurushi kwa namba husika nipige kwa namba un