Mnaotumia WhatsApp gb Vs mnaotumia WhatsApp ya kawaida

Mnaotumia WhatsApp gb Vs mnaotumia WhatsApp ya kawaida

WhatsApp GB si rahisi kuipakua.

Inahitaji proffessional.

Anaetumia Whatsapp ya kawaida kasheshe kwake ni pale anafuta kitu cha aibu huku wenye GB Whatsapp haifutiki patamu hapa.

Feature ipi nyingine wadau tupia hapa
Hizi mods mtu aki view status zako unapewa notifications, huna haja kuenda kuangalia nani na nani ka view status yako kama zaman, Nway kuna features mingi saaaaana nilizigundua zipo kwenye hizi mods zinahitaji utundu na muda sana kuziset.
 
Nani alikwambia kudownload watsap GB ni ngumu ,
 
Kuna feature ya poll ,nadhan msha experience pia ,mpk uweke poll ndo utawez kuona text za aliye poll pia kwenye magroup ya wasap
 
WhatsApp GB si rahisi kuipakua.

Inahitaji proffessional.

Anaetumia Whatsapp ya kawaida kasheshe kwake ni pale anafuta kitu cha aibu huku wenye GB Whatsapp haifutiki patamu hapa.

Feature ipi nyingine wadau tupia hapa
Patamu umetupia pilau Bahat mbay ukafuta ,kumbe wahun wanaupiga mwingi😅😅😅😅
 
Kupakua GB WhatsApp kunahitaji professionalism gani. Sasa wewe hata kupachika Windows utaweza kweli kama hizo mods unaziona ni ujanja kuzipakua.

By the way sijawahi tumia hizo mods sijui GB, Gold ila najua zinavyofanya kazi. WhatsApp yangu ni ya mawasiliano sio kuwa ghost viewer. Haiwezekani watu wanaficha hela benki mimi nifiche kuonekana status
 
Umeandika nn Mkuu
 
Back
Top Bottom