Mnaotumia WhatsApp gb Vs mnaotumia WhatsApp ya kawaida

Mnaotumia WhatsApp gb Vs mnaotumia WhatsApp ya kawaida

Wengine tuna enjoy mawasiliano..wengine wanaumiza vichwa 😂😂😂
 
Kwangu mimi GB whsap ninaona inafaida kwa namna moja ama nyingine...

Nimeweka bluu tiki baada ya kukujibu,maana kuna watu akiona uko online na message yake imeona na ujajibu anaona kama dharau....

Kuna ndugu zetu wanaweka status ila wana umwamba flani wanataka kila siku wewe ndio uwatafute, "kila siku ana view status zako ila hata salam hakuna".


Kuna ka sehem ka kuhide message za muhimu na unaweka na fingerprint ama password, hio naipenda sababu simu yangu haina password, kuna baadhi ya watu akishika simu anakimbilia message za whsap....


Kwanini uniandikia message ufute?kama umekosea andika ya pili ikiwa sahihi...anti-delet ni tool nzuri sana....


Kuna features nyingi sana kwenye GB whsap...
Hio ni next level.
 
GB w'app Ni chimbo na mwokozi wa Malaya wengi ...na wanao ishi kwa mashaka
 
Matumiz ya GB whatsapp ni moja ya dalili za utoto, Sometimes na umbea,
Una view Status then unajifich why
Mbona hata ya kawaida unaweza kuficha,,,,watu wanakimbia zile mesej mtu katuma ukichungulia tu anataka ujibu muda huohuo ukikawia lawama
 
Sipendi kutumia vitu ambavyo sio official sijui kwa nini .
 
Kuna busineess huruhusiwi kufanya ukiwa na whatsapp business. Kama kuuza madawa ya kulevya. Naweza tumia whatsapp GB?
 
Mm natumia GB wasap, kitu ambacho nimeweka ila kwa wasap ya kawaida haipo ni ukifuta ujumbe/status mm bado nitauona na h ndio lengo langu kuu ila vitu vingine vyote vipo kama vile natumia wasap ya kawaida.
 
Back
Top Bottom