shetani aka shetty baby
Member
- Oct 4, 2022
- 90
- 82
Tafuta kwa website ya ANDROID WAVES ana mods zote...WhatsApp GB ukitaka kuipakua kwenye play store unaambulia patupu.
Lkn pia uki restore mabo hayarudi Tena.
Hizi mods mtu aki view status zako unapewa notifications, huna haja kuenda kuangalia nani na nani ka view status yako kama zaman, Nway kuna features mingi saaaaana nilizigundua zipo kwenye hizi mods zinahitaji utundu na muda sana kuziset.WhatsApp GB si rahisi kuipakua.
Inahitaji proffessional.
Anaetumia Whatsapp ya kawaida kasheshe kwake ni pale anafuta kitu cha aibu huku wenye GB Whatsapp haifutiki patamu hapa.
Feature ipi nyingine wadau tupia hapa
Patamu umetupia pilau Bahat mbay ukafuta ,kumbe wahun wanaupiga mwingi😅😅😅😅WhatsApp GB si rahisi kuipakua.
Inahitaji proffessional.
Anaetumia Whatsapp ya kawaida kasheshe kwake ni pale anafuta kitu cha aibu huku wenye GB Whatsapp haifutiki patamu hapa.
Feature ipi nyingine wadau tupia hapa
Unataka epuka update!!???Kero kuu iliyopo GB ni kila mara kuniambia niUpdate. Nifanyeje kuziwia hili??
📌📌Matumiz ya GB whatsapp ni moja ya dalili za utoto
Umeandika nn MkuuKupakua GB WhatsApp kunahitaji professionalism gani. Sasa wewe hata kupachika Windows utaweza kweli kama hizo mods unaziona ni ujanja kuzipakua.
By the way sijawahi tumia hizo mods sijui GB, Gold ila najua zinavyofanya kazi. WhatsApp yangu ni ya mawasiliano sio kuwa ghost viewer. Haiwezekani watu wanaficha hela benki mimi nifiche kuonekana status
Tumefanyajeee🤣🤣
Na wenye gb wasapu, tena wewe hata usiongee kitu na mawingu yako🤣🤣wanasema mna utoto, hamjakuwa 🤣 na hamna hela
Mimi simu tu haisapoti ma wasap gb 🤣Na wenye gb wasapu, tena wewe hata usiongee kitu na mawingu yako🤣🤣